WILLY SAGNOL AKIWA KAMA KOCHA WA MDA AWAONGOZA BAYERN MUNICH KWENYE MAZOEZI YAO LEO - BZONE

WILLY SAGNOL AKIWA KAMA KOCHA WA MDA AWAONGOZA BAYERN MUNICH KWENYE MAZOEZI YAO LEO

Share This
The 40-year-old former right back is in temporary charge after Carlo Ancelotti's sackingSPORTS: Willy sagnol amefanikiwa leo kuongoza mazoezi ya Bayern Munich akiwa kama kocha wa mda  baada ya masaa 24  yaliyopita kufukuzwa kazi kwa Carlo Ancelotti,Willy Sagnol led his first training session as Bayern Munich's interim manager on Friday baada ya kupumzika Alhamisi kufuatia mchezo wao wa 3-0 klabu bingwa ulaya kundi B  kwa kupokea kichapo kizito toka kwa wababe wa Paris PSG, Bayern wameweza kurudi kujiandaa kuelekea Hertha Berlin Despite Ancelotti's exit and having lost 3-0 to PSG this week, the players looked fairly happy
Licha ya kupokea kipigo nakufukuzwa kwa kocha wao lakini wachezaji wa Bayern wameonekana wakihudhuria mazoezini huku wakiwa na motisha ya mchezo wao mwishoni mwa wiki hii.

No comments:

Post a Comment

Pages