SPARTAK MOSCOW 1-1 LIVERPOOL: PHILIPE COUNTINHO HAKIOKOA JAHAZI LA KLOPP. - BZONE

SPARTAK MOSCOW 1-1 LIVERPOOL: PHILIPE COUNTINHO HAKIOKOA JAHAZI LA KLOPP.

Share This
    Liverpool fell behind midway through the first half after Spartak midfielder Fernando fired a free kick into the back of the net
  • Liverpool walilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji waoThe Brazilian curled the ball over the wall and past Loris Karius after Philippe Coutinho gave away a foul in a dangerous area
  • warusi hao walipata bao la kuongoza ndani ya dakika ya 23 kufuatia mkwaju mkali wa mpira wa adhabu uliofumuliwa na Fernando
  • LIverpool wakafanikiwa kuweka mpira kimyani baada ya dakika mbili kutoka kwa Mane lakini alikuwa kashazidiJugen Klopp's side deserved to be on terms in Russia, having created by far the better chances during the first 45 minutes
  • Baada ya dakika 31 Liverpool wakasawazisha asante kwa countinho aliekuwa akigongeana na Mane
  • Mohamed Salah, Roberto Firmino na Daniel Sturridge walikosa nafasi za wazi nyingi sanaLiverpool had the better of the early stages, with Mane at the heart of some of their bright attacking play on Tuesday night
Ilikuwa dakika ya 80 ambapo mpira  ulidondokea kwa Roberto Firmino, ambacho ndo kitu alicho kuwa anakitaka kwa mda huo, kutokea yard  18  kwenye eneo liko wazi na goli  ikiwa ndo nafasi ya kuwa shujaa ndani ya mda huo, lakini mshambuliaji huyo akuweza kufanikisha baada ya kupiga mpira huo juu ya goli la maadui huku akionekana mwenye uso wa uzuni.
Jurgen Klopp akionekana mtu aliechanganyikiwa sana, huku story ya kuto fanya vizuri ikijuridia tena.

No comments:

Post a Comment

Pages