HAMILTON ACHUKUA TAJI LA MASHINDANO YA GRAND PRIX HUKO SINGAPORE - BZONE

HAMILTON ACHUKUA TAJI LA MASHINDANO YA GRAND PRIX HUKO SINGAPORE

Share This
SPORTS: Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda michuano ya Singapore Grand Prix mbele ya mpinzani wake mkubwa Sebastian Vettel.
Licha ya kushinda,Hamilton anataja michuano ya mwaka huu kuwa na upinzani mkali.
Hamilton, ambaye alianza mzunguko wa tano kwa kusuasua aliongoza baada ya Vettel kugongana na dereva mwenzake wa Ferrari Kimi Raikkonen.

No comments:

Post a Comment

Pages