SPORTS: Baada ya mchezo namba 25 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba SC dhidi ya Mbao FC ambao ulichezwa jana Alhamisi majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza huku mwenyeji klabu ya Mbao ikimtoa jasho zito mgeni wake wa sare ya 2-2 baada ya kukiri kwamba mtanange huo utakuwa mgumu ila tutawakomesha.
Huku Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya mchezo wa leo kupigwa baina ya Simba SC dhidi ya Mbao FC na kutoka sare ya mabao 2-2 katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza
No comments:
Post a Comment