SPORTS: Mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amefungiwa kucheza mechi 5 ikiwa ni adhabu ya kupewa kadi nyekundu kwa kujidondosha na adhabu ya kumsukuma mwamuzi ‘Ricardo de Burgos‘ katika mechi yao dhidi ya Barcelona.
Cristiano Ronaldo amefungiwa kucheza mechi 5, Mechi 1 kwaajili ya red card Mechi 4 kumsukuma mwamuzi, michezo atakayo kosa ni pamoja na
Barcelona- 16 Agosti
Deportivo- 20 Agosti
Valencia- 27 Agosti
Levante- 9 Sept
Real Sociedad- 17 Sept
Deportivo- 20 Agosti
Valencia- 27 Agosti
Levante- 9 Sept
Real Sociedad- 17 Sept
No comments:
Post a Comment