HIKI NI KIPINDI KIGUMU KUPITILIZA....KWENYE MUZIKI WA BONGO - BZONE

HIKI NI KIPINDI KIGUMU KUPITILIZA....KWENYE MUZIKI WA BONGO

Share This
:BY THOMAS NG'ITUImage may contain: 1 person, smiling, standing and shoes
M IX: Sikutaka kuandika kabisa kuhusu mziki kipindi hiki, Image result for ALI KIBAni  kipindi kigumu kupitiliza nyimbo zilizotaka wiki iliyopita mpaka leo  hii nyingi ni mbovu hata wao wenyewe zinawaboa kusikiliza nilichogundua hakuna anayeangalia mashabiki wanataka kitu gani na baadala yake wametega macho hii show yao wanayosemaga ni kubwa kuliko zote nchini hakuna jinsi acha nimuunge mkono Ali Kiba kwani hajafanya wimbo wake kwaajili ya show bali ni kwajili ya mashabiki zake wa ndani na nje mashairi ambayo kibongo yanaeleweka video ambayo mtu aliyepo nchi yoyote anaiangalia kugeuka kwake kuwa moto mjini ni baada ya kukata kiu na sio kutoa wimbo kwaajili ya kupandia kwenye stage 

No comments:

Post a Comment

Pages