HII NDIO REKODI ALIOJIWEKEA MSHAMBULIAJI LUKAKU MAN UNITED - BZONE

HII NDIO REKODI ALIOJIWEKEA MSHAMBULIAJI LUKAKU MAN UNITED

Share This
SPORTS: Romelu Lukaku amekuwa mchezaji wa nne kufunga magoli mawili katika mchezo wake wa kwanza kwenye #EPL Premier League  akiwa na klabu ya  Man Untd,
Wachezaji wengine waliowahi kuweka rekodi hii ni pamoja na Rashford (2016), Wilson (2014) na Ruud Van Nistelrooy (2001).

No comments:

Post a Comment

Pages