HII NDIO POST YA DIAMOND BAADA YA ALI KIBA KUTOA NGOMA YAKE YA SEDUCE ME - BZONE

HII NDIO POST YA DIAMOND BAADA YA ALI KIBA KUTOA NGOMA YAKE YA SEDUCE ME

Share This
ENTERTAIMENT: Ikiwa ni siku chache toka Diamond na Ali Kiba wamebadilishana maneno makaliTwitter na kwenye wimbo wa Fresh Remix, Ali Kiba ametoa video mpya @SeduceMe leo 8/25/2017 na tayari kuna Drama kwenye instagram ya Diamond Platnumz.
Hii ni Post ya Diamond Platnumz muda mfupi baada ya kutoka kwa Video ya Wimbo Mpya wa Ali Kiba @SeduceMe 

No comments:

Post a Comment

Pages