BOBBY V AKANUSHA KUKATAA KUTOMLIPA KAHABA - BZONE

BOBBY V AKANUSHA KUKATAA KUTOMLIPA KAHABA

Share This
Photo published for Exclusive: Bobby Valentino leaving a transgender apartment in Atlanta after failing to pay for the...ENTERTAIMENT: Staa wa RNB Bobby V amesema amesingiziwa kuwa alikimbia kumlipa kahaba baada ya kupata huduma zake.
Msemaji wa Bobby V anasema mteja wake alikuwa na mwanamke flani weekend hii ila mwanamke huyo hakuwa kahaba ila baadae ndio ilidaiwa kuwa Bobby hajalipia huduma za mwana dada huyo kitu ambacho amekanusha vikali akidai ni BLACK MAIL
Kilichofanya kesi hii imekuwa kubwa ni sababu mwanamke huyo alikuwa Transgender ‘Mwanaume aliyebadilisha jinsia’ ila Bobby V amethibitisha kuwa hakujua jambo hilo

No comments:

Post a Comment

Pages