HII NDIO KAULI ILIO MPONZA RICK ROSS - BZONE

HII NDIO KAULI ILIO MPONZA RICK ROSS

Share This
ENTERTAIMENT: Rapper kutoka Marekani, Rick Ross ameomba radhi kwa jamii juu ya kauli ya kutosaini wanawake kwenye lebo yake kwani angewasaini lazima angekuwa na mahusiano nao wa kimapenzi.  Rick Ross ameomba radhi kupitia kipindi cha redio cha ‘The Breakfast Club’. Boss huyo wa Maybach Music Group(MMG) ameamua kurudisha mdomoni matamshi yake aliyotoa siku ya jana na kukiri kosa hilo.
Ross amesisitiza  kuwaelimisha jamii yake kuacha kutoa matamshi mabaya dhidi ya wanawake. Pia anafikiria kutafuta rapper wa kike wanofanya vizuri na kuwasaini.

No comments:

Post a Comment

Pages