Omari Hardwick amesema alilala jela kweli kwa siku tatu ili kuigiza kama mfungwa kwenye POWER. - BZONE

Omari Hardwick amesema alilala jela kweli kwa siku tatu ili kuigiza kama mfungwa kwenye POWER.

Share This
ENTERTAIMENT: Mwigizaji Omari Hardwick Aka Ghost amesema alilala jela ya kweli kwa siku tatu ili kuweza kuigiza vizuri kama mfungwa kwenye msimu wa Nne wa Show ya Tv yaPOWER inayomilikiwa na rapa 50 Cent.
Omari Hardwick anasema alilala jela chini ya uangalizi maalum kiongozi wa jela hio na mtayarishaji wa show ya POWER, jambo hili lilifanywa siri ili lisichafue kituo cha Tvkinachorusha show hii.
Omari anayeigiza kama Ghost kwenye Power anajikuta yuko jela kwenye msimu wa nne wa Show hii.

No comments:

Post a Comment

Pages