CARRICK ATEULIWA KUWA NAHODHA UNITED - BZONE

CARRICK ATEULIWA KUWA NAHODHA UNITED

Share This
SPORTS: Michael Carrick amechaguliwa kuwa Nahodha wa klabu ya Man United, staa huyu atachukua nafasi ya Wayne Rooney aliyerudi Everton.
Carrick ni mchezaji mkongwe zaidi kwenye klabu, Yupo Man United toka mwaka 2006
Carrick alisema ‘Ni hshima kubwa kuwa captain wa klabu kubwa kama Man United’
Carrick alisajiliwa United kutoka Tottenham kwa ada ya pound milioni 18.6m na aliongeza mkataba mwaka huu utakaomuweka United mpaka June 2018.
Carrick amecheza mechi 459 nakushinda makombe matano ya Premier LeagueFA Cup moja na Champions League moja akiwa na United.

No comments:

Post a Comment

Pages