BESIKTAS YAFANIKIWA KUMSAJILI PEPE - BZONE

BESIKTAS YAFANIKIWA KUMSAJILI PEPE

Share This
SPORTS: Beki wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Képler Laveran Lima Ferreira maarufu kama Pepe amefanikiwa kujiunga na Besiktas ya Uturuki. Mchezaji huyo mwenye miaka 34, amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea timu yake hiyo mpya.
Pepe msimu uliopita alimaliza mkataba wake wa kuichezea Madrid kwa miaka kumi huku akiisaidia timu hiyo kushinda mataji ya ligi kuu ya Hispania, Uefa, na makombe mengine.

No comments:

Post a Comment

Pages