WIZKID AACHIA NGOMA MPYA RASMI AKIWA NA CHRIS BROWN - BZONE

WIZKID AACHIA NGOMA MPYA RASMI AKIWA NA CHRIS BROWN

Share This
MUSIC: Hakuna msanii wa kumkamata Wizkid kwa sasa Afrika kutokana na level aliyofikia. Muimbaji huyo wa Nigeria ameachia wimbo mwingine aliomshiikisha Chris Brown ‘African Bad Gyal’, huu ni wimbo wa tatu kwa wasanii hawa kufanya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages