EDDIE HEARN AMUONYA BONDIA ANTHONY JOSHUA JUU LA HILI - BZONE

EDDIE HEARN AMUONYA BONDIA ANTHONY JOSHUA JUU LA HILI

Share This
SPORTS: Eddie Hearn ambaye ni promote maarufu wa mapambano ya ngumi amemuonya bingwa wa dunia wa uzito wa juu, Anthony Joshua kuweka fikra zake zaidi katika kuulinda ubingwa wake huo katika siku za usoni. Hearn amesema hayo kutokana na kuanza kumuona bondia huyo wa Uingereza kaanza kuridhika na mafanikio aliyoanza kuyapata.

Promota huyo aesisitiza kuwa Joshua ni lazima ajiandae kikamilifu kwa kuwa anakabiliwa na mapambano makubwa mbele yake na hivyo asisubiri mpaka bodi imjadili.

No comments:

Post a Comment

Pages