TARAJ P.HENSON (COOKIE) WA EMPIRE ATWAA TUZO YA MUIGIZAJI BORA WA KIKE. - BZONE

TARAJ P.HENSON (COOKIE) WA EMPIRE ATWAA TUZO YA MUIGIZAJI BORA WA KIKE.

Share This
ENTERTAIMENT: Mwigizaji wa show kubwa ya muziki na maisha ya Empire Taraji P. Hensonameshinda tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike kwenye Tuzo za BET 2017.
Taraji P. Henson alikuwa akiwania tuzo hii na waigizaji wakubwa kama Gabrielle Union, Issa RaeJanelle Monae na Viola Davis.
Filamu maarufu aliyofanya ya Hidden Figures imeshinda tuzo ya Filamu Bora ya mwaka

No comments:

Post a Comment

Pages