REMY MA AMCHANA TENA NICKI MINAJ KWENYE MASK OFF REMIX - BZONE

REMY MA AMCHANA TENA NICKI MINAJ KWENYE MASK OFF REMIX

Share This


MUSIC: Remy Ma amerejea tena kwenye headlines baada ya kuachia remix ya ngoma ya Future, Mask Off. Hajasema nani amemuonya kwenye ngoma hiyo, lakini tension inayoendelea kati yake na Nicki inaweza kuwa ni diss nyingine ya kiaina toka kwa Remy.

Kwenye chorus, Remy anasikika akisema, “Murder next, who I’ma murder next? Maybe her / Nah, she ain’t worth it yet / I burned you, your new name is Bernadette.”
Kwenye verse anarap, ” It’s a shame, your whole clique lames. New York bitch, red bottom Timberlands / Blood on ’em, we ain’t never gon’ be friends again.”

No comments:

Post a Comment

Pages