NANDY ATOBOA ALIYEMSHAURI KUHUSU ALBUM YAKE IJAYO - BZONE

NANDY ATOBOA ALIYEMSHAURI KUHUSU ALBUM YAKE IJAYO

Share This
ENTERTAIMENT: Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka ‘THT’ Tanzania aliyetamba zaidi na ngoma yake ya ‘One Day’ na mwenye ujio wa kazi mpya inayokwenda kwa jina ‘Wasikudanganye’ Nandy ametaja mtu wakwanza kumshauri kufanya album inayotegemewa kutoka rasmi mwakani.
 Nandy amesema kuwa mpaka sasa amefikia katika hatua nzuri ya kukamilisha na kufichua kuwa wapo wasanii wakubwa wa ndani na nje ya Tanzania huku akigusia kuwa kati ya nchi ambazo ameshafikiria kuwashirikisha wasanii katika album yake ni Afrika Kusini na Nigeria.

No comments:

Post a Comment

Pages