ICE T AMUWAKIA SHABIKI ALIYEMFANANISHA NA ICE CUBE - BZONE

ICE T AMUWAKIA SHABIKI ALIYEMFANANISHA NA ICE CUBE

Share This
ENTERTAIMENT: Kwa watu wanaofuatilia muziki wa hip hop kwa juu juu tu, ni rahisi kuwachanganya Ice T na Ice Cube. Hiyo imemtokea puani shabiki mmoja baada ya kumchanganya Ice-T na Ice Cube kwenye Twitter.
Mambo yalianza baada ya Cube kutokea kwenye kipindi cha Bill Maher, Real Time With Bill Maher kupitia HBO kujadili utani wa mtangazaji huyo kuhusu neno Nigga ambao ulisababisha hasira kwa wamarekani weusi. “It’s a word that has been used against us. It’s like a knife. You can use it as a weapon or you can use it as a tool. It’s been used as a weapon against us by white people. We not gon’ let that happen again,” alisema.
Aliongeza, “I like your show. I like you. But I think this is a teachable moment, not just to you but to the people who are watching right now.”
Mtu mmoja hakupenda alichosema Cube na kuamua kumchana. Tatizo alimchana rapper mwingine, Ice-T.
“Screw U 4 whining on Bill Maher. When is ur music gonna respect women? How dare U go on show and whine like this,” aliandika mtu huyo na kumtaja Ice T. Rapper huyo alimpa jibu kavu, “Wrong Ice Bitch.

No comments:

Post a Comment

Pages