JE UNAMJUA MUIMBAJI HUYU WA R&B NA SOUL KUTOKA BONGO, AMINI ATAKUSHANGAZA. - BZONE

JE UNAMJUA MUIMBAJI HUYU WA R&B NA SOUL KUTOKA BONGO, AMINI ATAKUSHANGAZA.

Share This


ENTERTAIMENT: Tanzania ina vipaji vingi vya uimbaji lakini si vyote ambavyo umevisikia. Moja ya vipaji hivyo ni Topher Jaxx ambaye uwezo wake wa kuimba ni wa level nyingine kabisa.

Anafamika sana kwa kuimba muziki wa live wenye mchanganyiko wa R&B na soul ambao ukiusikiliza lazima utajiuliza mara mbili mbili kama muimbaji kama huyu yupo kwenye ardhi ya Bongo. Hebu zitegee sikio ngoma Yake Moja wapo.

No comments:

Post a Comment

Pages