Ndugu huyo Kayla Duckworth baada ya kupata zawadi hiyo kutoka kwa kaka yake Kendrick aliipost kupitia midandao ya kijamii jambo ambalo limekuwa na maoni tofauti hata wengine kumsema kuwa Kendrick amekuwa mkarimu zaidi kwa kitendo hicho ambapo pia baadhi pia walikuwa na maoni tofauti.
Hata hivyo Kendrick yuko katika maadalizi ya shows za ziara yake itakayoanza tarehe 12 ya mwezi ujao ambapo atapata support kutoka kwa wakali wenzake ambao ni D.R.A.M., Travis Scott, YG na wengineo.
No comments:
Post a Comment