HIZI NDIO BAADHI YA NGOMA ZITAKAZO PATIKANA KATIKA ALBUM YA DJ KHALED 'GRATEFUL' - BZONE

HIZI NDIO BAADHI YA NGOMA ZITAKAZO PATIKANA KATIKA ALBUM YA DJ KHALED 'GRATEFUL'

Share This
ENTERTAIMENT: Zikiwa zimebakia takribani wiki mbili kabla ya kuachiwa kwa albamu ya ‘Grateful’, Dj Khaled ameweka wazi nyimbo zitakazobatikana kwenye albamu hiyo. Kwa mujibu picha aliyoiweka rapper huyo kwenye mtandao wa Instagram, inaonyesha kuwa albamu hiyo itakuwa na nyimbo 23.

Kati ya nyimbo hizo zote zitakazopatikana kwenye albamu hiyo, ni nyimbo tatu pekee ambazo tayari Khaled alishaziachia ambazo ni ‘Shining’ aliyomshirikisha Jay Z na Beyonce, ‘To The Max’ aliyomshirikisha Drake na ‘I’M The One’ aliyowashirikisha Lil Wayne, Quavo, Chance The Rapper, Future na Justin Bieber.
Albamu hiyo inatarajiwa kuachiwa Juni 23 ya mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Pages