HIVI NDIVO CURRY ALIVO KULA BATA BAADA YA USHINDI WA NBA - BZONE

HIVI NDIVO CURRY ALIVO KULA BATA BAADA YA USHINDI WA NBA

Share This
ENTERTAIMENT: Baada timu yake ya Golden State Worriors kutwaa ubigwa wa NBA mwaka huu, mchezaji Steph Curry ameonekana akila bata la nguvu katika fukwe za Hawaii. Mchezaji huyo akiwa na familia yake pamoja na wazazi wake wameonekana mwenye furaha katika fukwe hizo zilizopo katika maeneo ya nchi ya Marekani. Hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa katika fukwe hizo.

Mchezaji huyo alikuwa alikuwa akinywa pombe, akizuta sikara na akionesha mwili wake unaowapagawisha warembo wengi duniani.

No comments:

Post a Comment

Pages