- BZONE
Share This
ENTERTAIMENT: Kabla ya Waislamu kuingia kwenye mwezi wa Ramadhani, Shetta alitangaza kutoa msaada kwa wale wote wenye maisha magumu. Na sasa Dizzim Online imemtafuta ili azungumze ameishia wapi juu ya suala hilo.
“Unajua process ilikuwa imebadilika kidogo, kwasababu nilipata support kutoka kwa Mohammed Dewji kupitia taasisi yake, akasema wazo langu zuri na anaomba kuniunga mkono,” amesema.
“Kwahiyo tutalifanya kwa pamoja na haitokuwa mimi tena peke yangu, tutakuwa wawili na mimi nilikuwa nataka kufanya mwezi huu tu wa Ramadhani, lakini tangia Mo ameingia amesema tubadilishe hiyo kwasababu watu wanahitaji msaada kila siku na sio siku za Ramadhani pekee, so watanzania wasijali ahadi bado ipo pale pale,” amesema.

No comments:

Post a Comment

Pages