SPORTS: Yusuph Manji amejiuzulu katika nafasi yake hiyo uwenyeketi katika klabu ya soka ya Yanga.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, Manji amesema ameamua kuachia ngazi ya uongozi huo kwa ajili ya kuwapisha watu wengine waongoze ili wasifikirie uongozi katika timu hiyo upo kwa ajili ya watu wachache pekee.
All trending stories lifestyle ,Mix , entertaiment and sports everyday
for advertersiment contact us through our email Barackmhina7@gmail.com its cheapest.Welcome to announce with us for Cheaper.
No comments:
Post a Comment