HUU NDIO MJENGO MPYA WA DOLA MILIONI 20 WA THE WEEKND - BZONE

HUU NDIO MJENGO MPYA WA DOLA MILIONI 20 WA THE WEEKND

Share This
Photo published for The Weeknd - Starboy: Legend Of The Fall 2017 World Tour at Air Canada Centre on May 27, 2017ENTERTAIMENT: The Weeknd sasa ni full kujiachia na Selena Gomez kwenye mjengo wake mpya huko L.A alioununua kwa mtonyo wa dola milioni 20.The Weeknd's LA mansion
Kupitia ripoti ambayo imetolewa na mtandao wa TMZ, umeeleza kwamba, The Weeknd amenunua mjengo mpya kwa dola milioni 20 huku ukiwa na vitu vya kinyama, unaambiwa mjengo huo unavyumba vya kulala 9, mabafu 11, nyuma ya kulala wageni, home theatre.The Weeknd's LA mansionThe Weeknd's LA mansion

No comments:

Post a Comment

Pages