
Koeman ambae alitumikia nafasi ya Beki katika kikosi cha timu ya taifa ya Uholanzi katika zama zake, ambae pia amewahi kukichezea kikosi hiko cha Nou Camp kwa takribani miaka 6, akianzia miaka ya 1989 hadi miaka 1995.

“Kila mtu ana fahamu nimetokea Barca , wanafahamu mapenzi yangu katika klabu niliyokulia kama mchezaji na kama binadamu,”
“Mpira wa miguu, ni kama katika maisha, ni kama katika biashara, kwa hiyo chochote kinawezwa kuzungunzwa na kujadiliwa.
“Mpira wa miguu, ni kama katika maisha, ni kama katika biashara, kwa hiyo chochote kinawezwa kuzungunzwa na kujadiliwa.

“Katika Maisha yangu nikiwa kama mtaalamu wa kufundisha Kabumbu, nina ndoto mbili tu za kuzitimiza. Moja kuwa kocha ndani ya nchi yangu, Uholanzi, {alishawahi kuwa kocha msaidizi akiwa chini ya kocha Guus Hiddink katika kombe la dunia la mwaka 1998}
No comments:
Post a Comment