HII NDIYO DOCUMENTARY YA NOTORIOUS B.I.G NA TUPAC SHAKUR ITAKAVYOKUWA - BZONE

HII NDIYO DOCUMENTARY YA NOTORIOUS B.I.G NA TUPAC SHAKUR ITAKAVYOKUWA

Share This
170525-Biggie-AEENTERTAIMENT:  A&E wameamua kutumbusha kwamba Notorious B.I.G na Tupac bado tunaishi nao kwa kuzileta documentary za maisha yao.
Moja ya luninga maarufu kwa utoaji wa Documentary tofauti tofauti kubwa, wameamua kuzileta documentary mbili kuhusu maisha ya B.I.G pamoja na Tupac Shakur, kwa upande wa Notorious B.I.Gwameipa jina la The Life of Notorious B.I.G ambapo humo mashabiki watapata kusikia ngoma ambazo hazikuwahi kusikika za B.I.G pamoja na interview kibao.170525-Tupac-AE
Kwa rapper Tupac Shakur wanaisogeza documentary ambayo wameipa jina la Who Killed Tupac?, Documentary ya B.I.G inatarajiwa kuzinduliwa june 28 huku ya Tupac kuzinduliwa June 29.

No comments:

Post a Comment

Pages