Harmonize aongea ukweli kuhusu yeye na Wolper - BZONE

Harmonize aongea ukweli kuhusu yeye na Wolper

Share This
ENTERTAIMENT: Mkali mwingine kutoka WCB Harmonize emekiri kupitia kipindi cha Leo tena Cha Clouds FM leo May 5 2017 ya kuwa wameachana na mrembo Wolper kutoka kwenye tasnia ya bongo movie na kusema ilitokea japo alikuwa na malengo naye na asingependa kulizungumzia sana na kwasasa hana mahusiano.

No comments:

Post a Comment

Pages