Dogo Janja - Ukivaaje Unapendeza? (Official Video) - BZONE

Dogo Janja - Ukivaaje Unapendeza? (Official Video)

Share This
ENTERTAIMENT: Haya kwa wote wale ambao bado walikuwa wanabisha kuhusu Dogo Janja kuwa ndio msanii ambaye anaumiza kwa mitupio Afrika Mashariki nzima naomba wawe wapole, coz the wait is over.

JanjaroNgarenaro Republic amedropisha kichupa  cha ngoma yake mpya “Ukivaaje Unapendeza” kichupa ambacho wakali wa hizi kazi wanadai ametupia kuliko kawaida.

No comments:

Post a Comment

Pages