David Beckham atua Bongo na familia yake - BZONE

David Beckham atua Bongo na familia yake

Share This

MIX:  David Beckham yupo Bongo, kwa mujibu wa video inayosambaa mtandaoni. Video hiyo ambayo inasemekana imechukuliwa wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam inamuonesha mchezaji huyo wa zamani Manchester United na Real Madrid akiwa na wanae wote wanne, Joseph Beckham, Romeo James Beckham, Cruz David Beckham na Harper Seven Beckham pamoja na yule anayeonekana kuwa ni Mke wake, Victoria.

No comments:

Post a Comment

Pages