Hitmaker huyo ameonjesha picha ya kile kinachoonekana kuwa ni video yake mpya na kuandika: Haya Mkimaliza Mambo Zenu Za Siasa Mtupe Tarehe Na Sisi Tufumue Hiii #Showme
Nimemtafuta kumuuliza iwapo matukio ya kisiasa yamemfanya awe muoga kuachia wimbo mpya.
“Hapana, siasa ipo kila siku ila now naona wasanii wengi wanaliongelea hilo, ila mie sidhani kama ngoma nzuri inashindwa kwenda kwaajili ya siasa,” amesema.
Kuhusu muda wa kuachia wimbo wake Mavoko amesema, “Wiki hii naweza kufanya hivyo, au wiki ijayo mwanzoni.”
No comments:
Post a Comment