UTAPENDA ALICHOKIFANYA DAVIDO KWA MASHABIKI ZAKE - BZONE

UTAPENDA ALICHOKIFANYA DAVIDO KWA MASHABIKI ZAKE

Share This
ENTERTAIMENT: Kila raia hupenda kuwa karibu na msanii wake au mtu maarufu, ila sasa muda mwingine ukaribu ukizidi unaweza kuchezea kichapo kwa walinzi, Davido ameamua kuonyesha kwamba mashabiki wananafasi kubwa kwenye maisha yake na kuwatetea.
Kupitia video ambayo ilipostiwa na Hiptv katika kurasa yao ya Instagram ilikuwa inamwonyeshaDavido akiwa anaperforme jukwaani, Ghafla akatokea mlinzi ambaye alivua mkanda wake na kuanza kuwapa mikanda mashabiki, Davido aliona sio kesi akiwaweka mashabiki zake mbele, akaamua kumweka askari pembeni baada ya kitendo hicho.

No comments:

Post a Comment

Pages