NICKI MINAJ AMEAMUA KUWAFUNGUKIA MASHABIKI UJUMBE HUU KUHUSU UAMUZI WA TRUMP - BZONE

NICKI MINAJ AMEAMUA KUWAFUNGUKIA MASHABIKI UJUMBE HUU KUHUSU UAMUZI WA TRUMP

Share This
ENTERTAIMENT: Wakati Trump akiendelea kugongelea msumari uamuzi wake wa kuzuia wahamiaji kuingia nchini Marekani, Nicki Minaj amemua kusimama mbele ya wahamiaji.
Baada ya John Legend, T.IFrench Montana na wengine kibao kufunguka juu ya uamuzi ambao ameufanya Trump kuwa sio wa haki na nijambo ambalo linaloweza chochea ugomvi, Nicki Minajameamua kusimama mbele ya wahamiaji kwa kujivunia kuwa muhamiaji.
Kupitia kurasa yake ya Twitter, Nicki Minaj ameamua kufunguka na kutetea wahamiaji ambao wamepigwa marufuku kuingia nchini Marekani na moja ya ishu kubwa ambayo imemfanya kutengeneza headline ni swala la kusema kwamba anajivunia kuwa muhamiaji.
The most harmful thing you could ever take away from another human being is hope. #ProudImmigrant #Grateful #TaxPayerButIcantVote #America,”

No comments:

Post a Comment

Pages