PAYET NA WEST HAM NDIO BASI TENA, CHEKI HILI JAMBO LILIVYOFANYWA - BZONE

PAYET NA WEST HAM NDIO BASI TENA, CHEKI HILI JAMBO LILIVYOFANYWA

Share This
SPORTS: West Ham wameamua kuondoa picha zote ambazo zilikuwa zinapatikana uwanjani hapo za Payetkwa kuiweka picha ya jezi namba 9 ya Andy Carroll.
Payet amekuwa kwenye wakati mgumu kwa sasa kwani tangu kutangaza kuamia kwenye klabu ya Marseille, mashabiki wamekuwa wakizomea na kuimba nyimbo za kumpinga Payet huku wengine wameonekana wakirusha mayai nyumbani kwa Payet.


No comments:

Post a Comment

Pages