Kuanzia February 1 mpaka 28 wamarekani weusi hutumia mwezi huu kusherehekea historia ya Wamarekani weusi, Sasa Blac Chyna amezileta picha ambazo zitakufanya kuzitazama kwa muda.
Katika kusherehekea mwezi huu, Blac Chyna ameamua kuwaonyesha ulimwengu jinsi gani umbile lake lilivyokwa kupiga picha za nusu uchi ambazo michoro ambayo inaonekana kwenye mwili yake inatajwa kama ni malkia wa kiafrika.
No comments:
Post a Comment