Hii ndio gharama anayotoza Chris Brown kama unataka kumshirikisha - BZONE

Hii ndio gharama anayotoza Chris Brown kama unataka kumshirikisha

Share This
ENTERTAIMENT: EBHANA JIPANGE.......!!!! Msanii wa muziki wa Rnb nchini Marekani, Chris Brown amefunguka kuhusu makubaliano hadi kufanya collabo na wasanii wengine. Chris ni miongoni mwa mastaa wanaoshirikishwa zaidi duniani.
Kupitia interview aliyofanya na kituo cha radio New York, Chris aliulizwa kuhusu collabo anazofanya na anavyotengeneza pesa. Chris Brown alisema kuwa hutoza $250,000 hadi $300,000 kwa collabo moja na hii inategemea na makubaliano kati yao.
Na baada ya malipo hayo, Chris huchukua asilimia fulani kutoka kwenye mauzo ya collabo hiyo kama itakuwa hit song. Chris pia amesema hufanya hivi kutokana na collabo zake kuwa na rekodi kubwa na kushika namba za juu kwenye chati za Billboard.

No comments:

Post a Comment

Pages