DJ KHALED NOMA JUU YA NOMA KWENYE BASKETBALL - BZONE
demo-image

DJ KHALED NOMA JUU YA NOMA KWENYE BASKETBALL

Share This
Dj Khaled anaweza kuwa ni miongoni mwa wakali wa HipHop ambao kwenye upande wa Basketball utakuwa umewapitia pembeni.

Snapchat King, Dj Khaled amekutana na noma kwenye mchezo wa kikapu baada ya kushindwa kudumbukiza mpira zaidi ya mara mbili, ila kwa wazee wakutoa hamasa na kuelimisha, katika kila mpira ambao Dj Khaled aliokuwa akirusha na kukosa bila kukata tamaa mpaka kufanikiwa kushinda, inamaanisha kwamba keep hustlin mpaka mwisho bila kuchoka.
Balaa la Dj Khaled kushindwa kuhandle mpira lilianza pale mpira ulipodondoka mikononi mwake na kuamua kuingia kuonyesha mauwezo, noma likajaa baada ya kila mpira aliokuwa akiurusha ulikuwa haungii mpaka kujaribu zaidi ya mara mbili ndipo alipofanikiwa kudumkiza mpira
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages