ENTERTAIMENT: Baada ya mashabiki wengi kuwa na maswali kusema kwamba Drake ni moja ya wasanii wakubwa ambao walisahaulika kwenye kuhudhuria ofisi ya Barack Obama wakati bado ni Raisi, Drakeameamua kutoa taswira hiyo kwa kushare ujumbe ambao ametumiwa na Barack Obama kwenye email.

No comments:
Post a Comment