Chance The Rapper bado anamapenzi mubashara kwa Barack Obama.
Wakati Raia wengine wakiwa bado wapo kwenye maneno na kuuandamana juu ya uamuzi waDonald Trump, Chance The Rapper pamoja na Joe Fresh wameamua kupromote collection yao ya nguo ya #ThankUObama clothing ambayo ilizinduliwa january 20.
No comments:
Post a Comment