Cameroon yatwaa ubingwa wa AFCON - BZONE
demo-image

Cameroon yatwaa ubingwa wa AFCON

Share This
Bao la ushindi liliingizwa golini katika dakika ya 88.
Misri ambayo ilikuwa imenuia kushinda mashindano hayo na kuweka rekodi ya mshindi mara nane, ilikuwa ikiongoza katika kipindi cha kwanza.
NI mara ya tano kwa Cameroon kubeba kombe hilo ya mataifa ya Afrika na mara yake ya kwanza tangu mwaka 2002.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages