DESPACITO YAENDELEA KUKIMBIZA DUNIANI KWA KUVUNJA REKODI YAKUWA VIDEO YA KWANZA KUPATA WATAZAMAJI BILIONI 5 KWENYE YOUTUBE. - BZONE

DESPACITO YAENDELEA KUKIMBIZA DUNIANI KWA KUVUNJA REKODI YAKUWA VIDEO YA KWANZA KUPATA WATAZAMAJI BILIONI 5 KWENYE YOUTUBE.

Share This
Despacito breaks world record being first video to score 5 billion views on YouTubeLuis Fonsi aliposhika kalamu kuandika hii ngoma anaweza akawa ajakosea na kuotea pale pale hasa pale alipoamka katikati ya usiku wa manane na kugundua nini kitajulikana na sio kama Despacito na kwnda kuvunja rekodi kubwa Duniani.

Despacito breaks world record being first video to score 5 billion views on YouTube
Ngoma hii iliachiwa Januari 2017 ikiwa ni video ya kwanza kwenye mtandao wa Youtube kufikisha watazamaji Bilioni 5.



Ngoma hii ikiwa imejipatia umaarufu kwa kuvunja rekodi sita kubwa Duniani na sasa imepata hii ya saba ahsante kwa wale walioweza kuisikiliza na hiyo ni Despacito.

Imeweza kuipita ile iliopendwa ya Wiz khalifa na Charlie Puth 'see you again' ambayo ilipata watazamji bilioni 3.4.

Rekodi nyingine ni ngoma ambayo imeangaliwa sana Online, ni ngoma bora iliopigwa Online pamoja na na video bora iliotazamwa sana Youtube na vile vile iliweza kukamata namba moja kwenye chati za Billboard mwezi wa pili mwaka  2018.

No comments:

Post a Comment

Pages