CARDB B 'NIMEAMUA KWASASA, HAKUNA KUTOA MIMBA KWANGU MIMI, NIPO TEYARI KWAJILI YA MTOTO..!! - BZONE

CARDB B 'NIMEAMUA KWASASA, HAKUNA KUTOA MIMBA KWANGU MIMI, NIPO TEYARI KWAJILI YA MTOTO..!!

Share This
Cardi B amewekea mkazo kuhusu kutoa mimba na kudai huu ndio ulikuwa wakati muafaka kwake yeye kuitwa mama na ni heshima kubwa kwake yeye hasa kwenye maisha yake ya mziki.



Na hayo ndio aliyoweza kuyatoa yale yaliyokuwemo kwenye kichwa chake kupitia kinywa chake alikuwa akiongea hayo yote kupitia kipindi cha BREAKFAST CLUB kwenye radio ya 105.1 leo Jumanne asubuhi na alitoa majibu hayo pale alipoulizwa na Charlamagne.

Tukiwa tunaliongelea hilo Cardi B yupo mbioni kuachia Album yake na akitarajia kuwa na Tour ya pamoja na Bruno Mars.

Cardi B amethibitisha kuwa anaweza akaimili kile kilicho mbele yake kwasasa huku akiwa na hamu ya kumuona mtoto wake wa kwanza.

No comments:

Post a Comment

Pages