HUU NDIO MUONEKANO WA STUDIO YA RAY VANNY - BZONE

HUU NDIO MUONEKANO WA STUDIO YA RAY VANNY

Share This
ENTERTAIMENT: Ikiwa imepita miezi miwili tangu boss wa WCB, Diamond Platnumz aweke wazi kuwa Rayvanny anatarajia kufungua studio hatimaye imekamilika. Kama ilivyokwisha tangazwa kuwa prodyuza Rash Don ndiye atahusika katika kusuka beat ndani ya studio hiyo, hadi sasa wasanii kama Dogo Janja na Madee wameonekana wakijiachia ndani ya studio hiyo, pengine kuna kazi inakuja. Tazama picha zaidi.

No comments:

Post a Comment

Pages