CONTE ATAMBA KWA MIAKA MIWILI MINGINE - BZONE

CONTE ATAMBA KWA MIAKA MIWILI MINGINE

Share This
SPORTS: Klabu ya Chelsea imetangaza kocha wao Antonio Conte amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na klabu hio na kuongezewa mshahara wa pound milioni 9 kwa mwaka, mwaka jana alipokea pound milioni 6.5.
Antonio Conte amekuwa kocha aliyewahi kulipwa zaidi na klabu hio kuliko kochawote waliopita.
Meneja huyo wa Chelsea Antonio Conte alisaini mkataba wa miaka mitatu alivyowasili London mwaka 2016, Chelsea walishinda kombe la Premier League msimu uliopita wakiwa na Conte.

No comments:

Post a Comment

Pages