LEO NI SIKU YA STAA WA PRISON BREAK ‘WENTWORTH EARL MILLER’ - BZONE

LEO NI SIKU YA STAA WA PRISON BREAK ‘WENTWORTH EARL MILLER’

Share This
ENTERTAIMENT: Muigizaji maarufu duniani kutoka nchini Marekani ‘Wentworth Earl Miller III’ tarehe ya leo ni siku ya kumbukumbu ya mfanao wa kuzaliwa kwake  ambapo kwa mujibu wa mahesabu ni ametimiza miaka 45.
Staa huyu wa tamthilia ya Prison Break alizidi kupata umaarufu zaidi baada ya kutumika katika video mbili tofauti za staa wa muziki wa nchini Marekani Mariah Carey ambazo ni ‘It’s Like That’ na ‘We Belong Together’
Ikiwa kama moja ya mafanikio tajwa ya staa huyu wa filamu mwaka 2005 ndo mwaka aliopata nafasi yakucheza kama ‘Michael Scofield’ kwenye tamthilia ya hiyo Prison Break ya FOX Network.
Hata hivyo Wentworth ni miongoni mwa mastaa wa filamu kutoka Marekani ambaye ameshatunukiwa tuzo ya Golden Globe kama Muigizaji Bora wa Kiume upande wa Tamthilia.

No comments:

Post a Comment

Pages