
“Kuingia kwenye movie kwangu ni asilimia 7
5 nikipata tu nafasi, kwasababu pia kipindi cha nyuma nilikuwa kwenye kampuni ya waigizaji so nina uwezo mkubwa sana wa kuingia kwenye movie, ila hasa hasa zile za tofauti, yaani movie za tofauti zaidi, sio kama zile tulizozoea kuziona na ninaamini mi ni muigizaji mzuri sana ambaye naweza kuuvaa uhusika unaotakiwa,” amesema Diana.

Diana si miss pekee mwenye uwezo wa kuigiza. Wema Sepetu, Nargis Mohamed, Jokate Mwegelo, Irene Uwoya ni miongonu mwao.
No comments:
Post a Comment