ZIFAHAMU HIZI PROJECT ANAZOKUJA NAZO ALI KIBA - BZONE

ZIFAHAMU HIZI PROJECT ANAZOKUJA NAZO ALI KIBA

Share This
MIX: Naamini mara kadhaa utakuwa umekutana na brands za mkali wa muziki wa Bongo fleva, Alikiba, iwe ni kitaani kwako au hata kwenye mitandao ya kujamii kuwaona wana wakitupia vitu kama T-Shits, Kofia vyenye logo ya Alikiba.
Na ikakupa picha kamili kuwa mkali huyo now anadeal na michongo ya kutengeneza mavazi yenye logo yake na vitu kama hivyo, wala hujakosea, ni kweli kabisa ila unachotakiwa kufahamu ni kwamba mkali huyo kwasasa anataka kuwa serioius kinoma kwa upande huo.
Kama uliwahi kukutana na T-Shirt, au Kofia sasa hivi usishangae kukutana na viatu, cover za simu na hata kinywaji chenye logo ya Alikiba.

No comments:

Post a Comment

Pages