POGBA AUNGANA NA WAISLAM WENGINI KWENYE MFUNGO WA RAMADHAN HUKO MAKKA - BZONE

POGBA AUNGANA NA WAISLAM WENGINI KWENYE MFUNGO WA RAMADHAN HUKO MAKKA

Share This
MIX: Baada ya kunyakua Ubingwa wa Europa akiwa na klabu yake ya Manchester United, kiungo Paul Pogba ameungana na Mamilioni ya waislamu duniani katika mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan katika ibada iliyofanyika Makka nchini Saudi Arabia.
Mchezaji huyo ghali duniani ameonekana akiwa amevalia mavazi meupe mwili mzima katika picha zilizosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwemo video aliyoiweka kwenye akaunti zake za Instagram pamoja na twitter.

No comments:

Post a Comment

Pages