MONI aliyetekwa pamoja na Roma afunguka ukweli wote huu Hapa! - BZONE

MONI aliyetekwa pamoja na Roma afunguka ukweli wote huu Hapa!

Share This
ENTERTAIMENT: Wiki chache zilizopita story kubwa nchini ilikuwa ni kutekwa kwa wasanii wa kizazi kipya Roma Mkatoliki,Moni Centrozone, Producer Binladen na house boy wa studio za Tongwe Records afahamikae kamaImma.

Kitu ambacho mpaka leo hii ilikuwa haijajulikana chanzo cha kutekwa kwa wakali hao kutokana na wao kukaa kimya ili kupisha shughuli za kipelelezi ziendelee.
Jana kwenye XXL ya Clouds FM Moni Centrozone amefanya exclusive interview kwa mara ya kwanza toka atokewe na kisanga hicho cha kutekwa, na amefunguka mengi sana ambayo yalijiri katika tukio zima la utekwaji.
Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video  ili uweze kusikiliza mwanzo mpaka mwisho jinsi ambavyo Moni akisimulia mkasa mzima ulivyokuwa.

No comments:

Post a Comment

Pages